Mkurugenzi wa fedha benki ya Posta Tanzania (TPB) Regina Semakafu akizungumza na na wanafunzi pamoja na walimu (hawapo pichani) mara baada ya kukamilisha zoezi la utoaji wa madawati kama msaada uliotolewa na benki ambapo ni thelathini . BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI. |
Meneja Benki ya Posta Tanzania (TPB) tawi la Mbeya Humphrey Julias akizungumza katika hafla ya utoaji madwati kwa shule ya hiyo ya Mbeya Day kutoka benki ya Posta Tanzania. |
Mkurugenzi wa fedha kutoka benki ya Posta Tanzania Regina Semakafu (kushoto) pamoja na uongozi wa benki hiyo Tawi la Mbeyakatika picha ya pamoja na wananfunzi wa shule hiyo ya Mbeya Day. |
0 comments:
Post a Comment