Kaimu Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana akizungumza wa maofisa katika idara hiyo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.

Kaimu Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana akifurahia jambo na Ofisa katika Idara hiyo, Amos Siyantemi, baada ya kuzungumza wa maofisa katika idara hiyo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Kaimu Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Pindi Chana akiwa katika picha ya pamoja na maofisa katika idara hiyo, baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam. Walioketi, kushoto ni Salehe Mhando na kulia ni Amos Siayantemi na waliosimama kutoka kushoto ni Lightness Shauri Habib Twahir, Margaret Mtui na Rajab Fondogoro.
0 comments:
Post a Comment