Wachezaji wa timu ya netiboli ya Uchukuzi Sports Club, Grace Mwasote (kushoto mwenye mpira) akizuiwa na Johari William wakati wa mazoezi ya timu hiyo kwenye Uwanja wa Bandari, Kurasini mwishoni mwa wiki. Timu hiyo inajiandaa kwa mashindano ya Mei Mosi yatakayofanyika mjini Dodoma,
Maimuna Ayelo (kulia) akirusha mpira huku Mayasa Hamidu (kushoto) akiuzuia.
Grace Mwasote akiwa na mpira akiangalia
jinsi ya kuwatoka wachezaji wenzake wa timu ya netiboli ya Uchukuzi Sports
Club. Wengine pichani ni Johari William (kushoto) na Maimuna Ayelo.
Matalena Mhagama mfungaji mkongwe pia wa timu ya Taifa ya netiboli(kushoto), akizuiwa na Sharifa Mustafa (kulia) huku Mary Kajigili (kushoto nyuma),akiangalia.
Tatu Kitula mmoja wa wafungaji tegemeo akijiandaa
kurusha mpira.
Matalena Mhagama mfungaji mkongwe pia wa timu ya Taifa ya netiboli(kushoto), akizuiwa na Sharifa Mustafa (kulia) huku Mary Kajigili (kushoto nyuma),akiangalia.
Maimuna Ayelo (kushoto) akidaka mpira huku
Subira Jumanne akijiandaa kumzuia katika mazoezi ya timu ya netiboli ya
Uchukuzi yaliyofanyika kwenye uwanja wa Bandari Kurasini, wakijiandaa na
mashindano ya Mei Mosi.
0 comments:
Post a Comment