Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group
Raberto Jarrin, akiongea na wanawake wafanyakazi wa
TBL Group wakati wa kongamano la kuadhimisha siku ya
wanawake duniani lililofanyika katika ofisi za makao makuu ya kampuni jana
jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Masoko wa TBL
Group ,Kushilla Thomas akiongea na wanawake wenzake wakati wa
kongamano hilo ka kuadhimisha siku ya wanawake duniani.
Meneja wa kuendeleza Vipaji
wa TBL Group ,Lilian Makau akitoa mada
Mkurugenzi wa Mawasiliano na
Uhusiano wa TBL Group, Georgia Mutagahywa, (kushoto) akiongea na wanawake
wenzake katika kongamano hilo la kuelimishana masuala mbalimbali ya kukabiliana
na changamoto zinazorudisha nyuma maendeleo ya akina mama.
Rais wa VICOBA Tanzania,
Devotha Likokola (kushoto) akivikwa ua kwa kutambua
mchango wake wa kupigania kuinua akina mama kiuchumi.
Baadhi ya akina mama
waliohudhuria kongamano hilo wakifuatilia mijadala mbalimbali
Akina
mama kutoka TBL Group wakifuatilia matukio wakati wa kongamano
Baada ya kongamano kulikuwepo na burudani za kusherehekea Siku ya Wanawake ambapo Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group hakubaki nyuma kusherehekea siku hii pamoja na wafanyakazi wa kampuni yake ambapo aliamua kucheza muziki kufurahi pamoja nao.
Mwanamuziki
mahiri wa bendi ya Dorika ,King Movo akitoa burudani baada ya
kongamano hilo
Akina
mama kutoka TBL Group wakifuatilia matukio wakati wa kongamano
0 comments:
Post a Comment