Nafasi Ya Matangazo

March 07, 2016

Mwenyekiti wa UWT mkoa wa Arusha Flora Zelothe akimpa mkono Mhe. Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige mara baada ya makabidhiano ya vitu vya ofisi vyenye thamani ya shilingi milioni 6.5.

 Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige akicheza ngoma na viongozi wa UWT mkoa wa Arusha mara baada ya kukabidhi ofisi ya UWT aliyokarabati kwa gaharama ya shilingi milioni 6.5 ,ambapo ofisi imepakwa rangi ,kuwekwa tiles , viti, meza , amakabati pamoja na TV.
Mbunge wa Viti Maalum CCM mkoa wa Arusha Mhe. Catherine Magige akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi na wajumbe wa UWT mkoani Arusha.

Posted by MROKI On Monday, March 07, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo