Nafasi Ya Matangazo

March 14, 2016

Familia ya Marehemu Ambrose Lesulie Mushi ya Kirima Boro inasikitika kutangaza kifo cha  ndugu yao Richard Ambrose Mushi kilichotokea katika hospitali ya Lugalo Dar es Salaam March 11. Mipango ya mazishi inafanyika Legho hoteli Shekilango jijini humo.  Habari ziwafikie ukoo wote wa Mushi, Nshanga, Shio, Kimaro pamoja na jamaa na marafiki popote pale walipo. 
Posted by MROKI On Monday, March 14, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo