Nafasi Ya Matangazo

March 16, 2016


 Rais John Magufuli akikata utepe pamoja na Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (wa pili kushoto) Balozi wa Japani nchini Masaharu Yoshida (katikati) Mwnyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida (wa pili kulia) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Profesa Justin Ntalikwa (wa pili kulia) 
Rais John Magufuli akifunua kitambaa kuashiria uwekaji jiwe la msingi ujenzi wa Kituo cha Kufua Umeme cha Kinyerezi 11 akisaidiwa na Waziri wa Nishati na Madini,Profesa Sospeter Muhongo,Balozi wa Japani nchini Masaharu Yoshida (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco Muhandisi Felchesmi Mramba (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda



 Rais John Magufuli akitembelea eneo lenye mitambo ya kufua Umeme Kinyerezi 1 akiambatana na viongozi wa Tanesco.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,Mhandisi Felchesmi Mramba (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara,Profesa,Justin Ntalikwa (wa pili kulia) na Naibu Katibu Mkuu Juliana Pallangyo na viongozi wengine.
Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo (kulia) Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco,Mhandisi Felchesmi Mramba (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara,Profesa,Justin Ntalikwa (wa pili kulia) na Naibu Katibu Mkuu Juliana Pallangyo na viongozi wengine.
  Rais John Magufuli akiwasalimia viongozi mbalimbali wa Tanesco.
    


 Rais akiwaongoza viongozi wa Tanesco kutembelea maeneo ya kufua umeme wa gesi Kinyerezi. 
 Rais John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa TANESCO.
Rais John Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wataalamu wa kijapani na viongozi.
Posted by MROKI On Wednesday, March 16, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo