Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipitia majina ya watu wanaomiliki ardhi kubwa katika vijiji vya kasharaza na Rwakalemela wilayani Ngara aliyokabidhiwa na Afisa Ardhi wa wilaya hiyo Betty munuo katika mkutano aliohutubia kwenye kijiji cha Kasulo wilyani Ngara Machi 16, 2016.
Afisa Ardhi wa Wilaya ya Ngara, Betty Munuo na Mwenyekiti wa kijiji cha Rwakalaman, Brighton Kemkimba (kulia) wakimsikiliza Waziri Mkuu wakati alipozunguma katika kijiji cha Kasulo wilayani Ngara machi16, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Jafari baada ya kuwahutubia wananchi wa kata ya Kasulo wilayani Ngara Machi 16, 2016. Alikuwa katika siku ya mwisho ya zira ya mkoa wa Kagera.
Wananchi wa Kalebezo wilayani Chato wakionyesha mabango wakati Waziri Mkuu, KassimMajaliwa alipopita kijijini kwao akitoka Ngara kuelekea Chato mkoani Geita machi 16, 2016.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Busanda, Lolesia Bukwimba baada ya kuwasili kwenye Ofisi yaMkurugenzi wa Wilaya yaChato kuanza ziara ya Mkoa wa geita Maci 16, 2016.
0 comments:
Post a Comment