Wamiliki wa biashara za vinywaji wa mjini Moshi
wakimsikiliza mtaalamu wa masuala ya uendeshaji biashara,Nyakahija Manyama wakati wa mafunzo
maalumu ya kuboresha biashara zao yaliyoandaliwa na kampuni ya TBL Group na
kufanyika katika hoteli ya Leopard ya mjini Moshi yaliyomalizika mwishoni mwa
wiki.
Wamiliki wa biashara za vinywaji wa mjini Moshi wakimsikiliza mtaalamu wa masuala ya uendeshaji biashara,Nyakahija Manyama wakati wa mafunzo maalumu ya kuboresha biashara zao yaliyoandaliwa na kampuni ya TBL Group na kufanyika katika hoteli ya Leopard ya mjini Moshi yaliyomalizika mwishoni mwa wiki.
Wahitimu wa mafunzo haya wakiwa katika picha baada ya kutunukiwa
vyeti

0 comments:
Post a Comment