Afisa
Mtenaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID,
Dkt. Gration Kamugisha (kulia),
akimkaribisha Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard
Mkumbo, wakati mkurugenzi huyo na tmu yake walipotembelea taasisi hiyo jijini
Dar es Salaam jana, kwa lengo la kujua maendeleo ya taasisi na changamoto
wanazokabiliana nazo ili kutafuta ufumbuzi wa kuzishughulikia changamoto hizo.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID,
Dkt. Gration Kamugisha(aliyesimama
kushoto), akielezea mafanikio ya taasisi hiyo na changamoto inayokabiliana nazo
wakati timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Mipango ilipotembelea
taasisi hiyo jijini Dar es Salaam jana. Timu hiyo iko kwenye ziara ya kukutana
na watendaji wa taasisi zilizo chini ya wizara hiyo hususan Ofisi ya Msajili wa
Hazina.
Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo
Dkt. Kamugisha akielezea mafanikiona changamoto ambazo UTT-PID inapambana nazo
Dkt. Kamugisha (katikati), Mkuu wa Kitengo cha Sheria, UTT-PID, Tuzo Mpiluka, na Mkuu wa kitengo cha Operesheni, Alexsandar Nikolik
Dkt. Kamugisha na kushoto ni Mkuu wa Operesheni wa UTT-PID, Alexsandar Nikolik
Mkuu wa Kitengo cha Sheria, UTT-PID, Tuzo Mpiluka, akifafanua jambo, huku Dkt. Kamugisha (kushoto) na Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo
Kaimu Mkuu wa Masuala ya kampuni (Head of Corporate Affairs), Eugenia Simon, (katikati), akizungmza huku Mkurugenzi wa Mipango wa wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, (kulia) na Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo
Mkuu wa kitengo cha usimamizi wa miradi, Joyce Mcharo
Msabaha A. Msabaha (kulia), Afisa mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, aliyefuatana na Mkurugenzi wa Mipango Richard Mkumbo, akizungumza kwenye kikao hicho. Kushoto ni Afisa Mwingine mwanadamizi kutoka wizara hiyo, Masoud Ridhiwani
Afisa mwandamizi kutoka Wizara ya Fedhana Mipango, Masoud Ridhiwani akizungumza kwenyekikao hicho. Kshoto ni Mkurugenziwa Mipango, Richard Mkumbo.
Mkuu wa kitengo cha Usimamizi wa Manunuzi cha UTT-PID, Milton Shango, (kulia), akizungumza kwenye kikao hicho.
Bw. Shango akifuatilia kikao kwa makini
Bw. Mkumbo akizungumza na uongozi wa juu wa UTT-PID
0 comments:
Post a Comment