Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group Roberto Jarrin ( wa pili kushoto) akiwa na Maofisa waandamizi wa kampuni hiyo waliposhiriki mbio za kilomita 5 za mashindano ya riadha ya Kilimanjaro Marathon zilizofanyika mjini Moshi mwishoni mwa wiki.Bia ya Kilimanjaro inayotengenezwa na kampuni hiyo ndio ilikuwa mdhamini mkuu wa mashindano hayo
Wafanyakazi wa TBL Group wakiwa kwenye mbio
Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group Roberto Jarrin ( aliyenyoosha mkono) akijadiliana jambo na Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye muda mfupi kabla ya kuanza mashindano hayo.
Waziri Nape Nnauye akisikiliza risala muda mfupi kabla ya kutangazwa washindi wa mashindano hayo
Wazari wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Nape Nnauye ( kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa TBL Group Roberto Jarrin baada ya kumalizika mashindano ya Kilimanjaro Marathon mwishoni mwa wiki.
0 comments:
Post a Comment