Nafasi Ya Matangazo

February 29, 2016


Maelfu ya wakazi wa Moshi na wanariadha mbalimbali wakifuatilia  mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushirika Mjini Moshi  

Wafanyakazi wa  kampuni ya Tigo wakiwa katika picha  ya pamoja  kabla  ya kuanza    mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  

 Waziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Nape mnauye  ( katikati mwenye kofia) akisubiri kufungua mbio za Tigo Kili half Marathon 2016, mkoani Kilimanjaro, kulia kwake  Meneja masoko Olivier prentout  atika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi .
Wanariadha wa Tigo Kili half Marathon wakisubiri kuanza mbio   katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi .
Mzee mwenye Umri wa miaka 90 akiungana na wanariadha wenzake  katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA 

 Wafanyakazi wa kampuni ya Tigo wakikimbia mbio za Tigo half Marathon   katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi   




Meneja chapa Tigo, William Mpinga akikikimbia mbio za kilometa 21      katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  
Wafanyakazi wa Tigo wakiwa kwenye water point kwa kutoa huduma kwa wakimbiaji   katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  

Wanariadha mbalimbali wakikimbia katika  katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi  
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez nae akionyesha ushirikiano mzuri kabisa na wananchi kwa wa kuungana nao katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon  mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi


Mkurugenzi Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez  akipata huduma ya kwanza wakati akikimbia   na kumalizia kilomita 42 za kili marathon katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana 
Meneja mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez akimaliza mbio za kilomita 42 za kili marathon katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana 




.Meneja mkuu wa Tigo , Diego Gutierrez akipongezwa na mkiambiaji wenzie Mara baada ya kumaliza mbio za Kilimanjaro marathon za kilomita 42   katika mashindano yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha ushirika Mjini Moshi jana 

 Waziri wa habari, utamaduni, Sanaa na michezo Mhe. Nape mnauye  akimkabidhi akimkabidhi hundi ya sh Milion 2 Bernard Matheka (mkenya miaka 27) baada ya kuibuka mshindi kwa upande wa wanaume  katika mashindano ya Tigo Kili Half Marathon kwa kukimbia kilometa 21 na kutumia saa 1.14.55  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi


Baadhi ya washiriki waliopata bahati ya kuzawadiwa na Tigo kwenye mbio za Kili Marathon  katika mashindano hayo yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya chuo cha Ushrika Mjini Moshi



Posted by MROKI On Monday, February 29, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo