Nafasi Ya Matangazo

January 05, 2016


Waziri wa Nchi ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira  Mh .January Makamba akisisitiza jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp,alipomtembelea Ofisini kwake Mapema hii leo kwa ajili  ya utambulisho pamoja na kujadili mambo Mengine yanayohusu Mahusiano kati ya Tanzania na Uturuki.
Waziri  wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba wa kwanza kushoto akielezea jambo kwa Balozi wa Uturuki Ms.Yasemin Eralp wa pili kutoka kushoto mapema hii leo alipomtembelea ofisini kwake, wengine ni Bw. Berat Colak aliyeambatana na balozi na anayefuatia Dr. Julius Ningu Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais.  
Posted by MROKI On Tuesday, January 05, 2016 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo