Nafasi Ya Matangazo

December 27, 2015

jo5
Wageni waalikwa mbalimbali walihudhuria katika uzinduzi huo
jo1
Mkurugenzi wa Kampuni ya Jambo Concerpt na Gazeti la Jambo leo Bw. Juma Pinto akiwa katika picha ya pamoja na DJ John Peter Pantalakis kushoto na DJ Masoud Masoud kwenye uzinduzi wa kiwanja cha City Sports Lounge Posta maarufu kwa kuonyesha mipira ya ligi mbalimabli za ulaya, uzinduzi huo umefanyika alhamis wiki hii na kuhudhuriwa na wageni waalikwa mbalimbali. uzinduzi huo umefanyika kufuatia ukarabati na uboreshaji wa mambo mbalimbali katika klabu hiyo yaliyofanyika kwa muda wa mwezi mmoja.
jo2
Kutoka kulia ni Mwesa, Ally na Helman wakibadilishana mawazo huku wakishuhudia zunduzi huo.
jo3
Chacha Maginga na wadau wenzake wakipozi kwa picha.
jo4
Wahudumu waliovalia sare nzuri wakwasikiliza wageni waalikwa katika uzinduzi huo.
jo6
Posted by MROKI On Sunday, December 27, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo