Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya
Chadema,Mh. Edward Lowassa akiweka shada la maua katika kaburi la
aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo,
alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi,
wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015.
Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya
Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisalimiana na Kaka wa Marehemu Mzee Peter
Kisumo, Mzee Daniel Mchangila, wakati alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda
kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga,
mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015. Kulia ni Mama Mdogo wa Marehemu Mzee
Kisumo, Bi. Nashati Mbawa.
Mgombea Urais Tanzania kwa tiketi ya
Chadema,Mh. Edward Lowassa, akisaini kitabu cha maombolezo, wakati
alipofika kuhani msiba wa aliewahi kuwa mwanasiasa mkongwe nchini, Marehemu Mzee Peter Kisumo, alipokwenda kuhani msiba Nyumbani kwa Familia ya Kisumo, Usangi, wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro Oktoba 6, 2015.
0 comments:
Post a Comment