Baadhi ya wasanii wa Bongo Movie wakizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu katika mkutano uliofanyika kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Azimia Jimbo la Kibaha Vijijini jana mkoani Pwani.
|
CCM naona kama tumepanic vile. Hii idea ya kuwatumia wasanii ambao wamelipwa na sii kwa hiari yao wenyewe kwenye hii mikutano haimake any sense at all. Muda si mrefu tutaanza kunotice watu wajadili jinsi gani diamond alivyoporomosha bonge la shoo instead ya kujalidi na kusambaza sera za mgombea wetu.
ReplyDelete