Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Kilindi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga. Miongoni mwa ahadi aliyoitoa kwa wanaKilindi ni kulishughulikia suala la upatikanaji wa huduma za maji safi na salama pamoja na ujenzi wa barabara ya kuingia na kutoka katika Wilaya hiyo.
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Kwediboma wakiwa wamesimamisha msafara wa mgombea mwenza
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan
kuwasikiliza kilio chao alipokuwa akisafiri kuelekea Wilaya ya Kiteto.
Baadhi ya ahadi aliyoitoa Bi. Samia ni pamoja na upimaji wa ardhi ya
vijiji na wilaya ili kumaliza migogoro ya ardhi kwa wafugaji na
wakulima.
Katibu
wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga akizungumza na wanaCCM na wananchi
katika mkutano mdogo wa kampeni wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais,
Bi. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Kilindi, Tanga.
Kutoka
kulia ni mgombea ubunge wa Jimbo la Kilindi, Mboni Muhita akiserebuka
na baadhi ya viongozi na makada wa CCM walioongozana kwenye kampeni za
mgombea mwenza Wilaya ya Kilindi.
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge wa Jimbo la Kilindi, Mboni
Muhita kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Kilindi
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga.
Mgombea
mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu
Hassan (kulia) akionesha nakala ya ilani ya chama hicho kwa wananchi
kabla ya kumkabidhi, mgombea ubunge wa Jimbo la Kilindi, Mboni Muhita
kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga.
|
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kilindi, Mboni Muhita akionesha kwa wananchi nakala ya ilani ya uchaguzi ya chama hicho mara baada ya kukabidhiwa na mgombea mwenza kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Tanga. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akimtambulisha mmoja wa wagombea wa udiwani CCM katika mkutano wa hadhara Jimbo la Kilindi. |
|
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Kwediboma wakiwa wamesimamisha msafara wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan kuwasikiliza kilio chao alipokuwa akisafiri kuelekea Wilaya ya Kiteto. |
|
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kampeni za CCM Taifa, Ummy Mwalimu (kushoto) na Mahadhi Juma wakijadili jambo kwenye moja ya mikutano ya kampeni ya mgombea mwenza. |
|
Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Nkenge, Asumpta Mshama akizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa hadhara Jimbo la Kilindi kunadi ilani ya CCM. |
|
Baadhi ya wananchi wakiwa wamesimama juu ya kisiki kuweza kumshuhudia mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwasili Jimbo la Kilindi. |
|
Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM Kijiji cha Kwediboma wakiwa wamesimamisha msafara wa mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan kuwasikiliza kilio chao alipokuwa akisafiri kuelekea Wilaya ya Kiteto. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu kwa heshima na vijana wa UVCCM mara baada ya kuwasili katika Wilaya ya Kiteto ambapo alifanya mikutano ya kampeni kunadi ilani ya CCM. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ofisi za CCM Wilaya ya Kiteto kabla ya kuanzamikutano ya kampeni kunadi ilani ya CCM. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Kiteto kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Mkoa wa Manyara. Katika ahadi zake alisema ndani ya miaka miwili baada ya kuingia madarakani watahakikisha umeme unawaka katika vijiji vyote vya Tanzania. |
|
Mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Kiteto, Emmanuel Papian John (kushoto) akitambulishwa kwa wananchi na WanaCCM na Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan. |
|
Sehemu ya wanaCCM na wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Hassan alipokuwa akinadi ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Chemba, Wilaya ya Chemba. |
|
Mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Chemba, Juma Nkamia akizungumza na mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika jimboni humo. |
|
Mgombea ubunge wa CCM Jimbo la Chemba, Juma Nkamia (kulia) akizungumza na wanaCCM na wananchi katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais wa chama hicho, Bi. Samia Suluhu Hassan Wilaya ya Chemba. Kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Adam Kimbisa. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma kwenye mkutano wa hadhara Jimbo la Chemba. |
|
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Chemba kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni Wilaya ya Chemba. Picha zote na www.thehabari.com. |
Jamani! Jaribuni kuwa mnapost vitu vyenye mashiko, sio wote tunaofungua blog zenu Ni vilaza kiasi hicho. Wameshindwa kuweka umeme kila kijiji kwa miaka 54 sembuse miaka miwili?
ReplyDelete