Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi
kuashiria uzindizi wa ujenzi wa Ofisi za Mahaka ya Afrika uliofanyika leo
katika kijiji cha Lakilaki kilichopo Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Wengine
pichani Rais wa Mahakama ya Afrika,Jaji Theodor Meron (kushoto), Jaji Mkuu
Mohamed Chande Othman (wapili kushoto), pamoja na viongozi wengine mbalimbali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Rais wa
Mahakama ya Afrika,Jaji Theodor Meron kuzindua ujenzi wa Ofisi za Mahaka ya
Afrika uliofanyika leo katika kijiji cha Lakilaki kilichopo Wilaya ya Arumeru
mkoani Arusha.
Mkurugenzi wa Meero Contractors LTD Jeremiah
Ayo (kushoto),akiwa katika sherehe ya kuweka jiwe la msingi katika
ujenzi wa ofisi za mahakama ya Afrika iliyofanyika Lakilaki Arumeru,Arusha. Kampuni ya Meero
ndio wanaojenga barabara yenye urefu wa 1.30 km kwa kiwango cha lami.
Baadhi ya maofisa na
mafundi wakiwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Meero Contractors LTD Jeremiah Ayo wa (wa nne kulia)akishuhudia sherehe ya
kuweka jiwe la msingi ofisi za Mahakama ya Afrika iliyofanyika katika eneo la Lakilaki
Arumeru , mjini Arusha leo.
0 comments:
Post a Comment