Mwandishi wa gazeti la
HabariLeo, Gloria Tesha akiwa mwenye furaha baada ya kutunukiwa cheti cha
Shahada ya Uzamili ya Mawasiliano ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha
Mawasiliano cha China. Mahafali hayo yalifanyika Julai Mosi mwaka huu, chuoni
hapo.
Mwandishi wa HabariLeo (wa
pili kushoto) akiwa na wenzake baada ya kutunukiwa shahada ya uzamili ya
Mawasiliano ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha China Julai Mosi
mwaka huu nchini humo.
Gloria Tesha (wa tatu kushoto) akiwa na wenzake kabla ya kutunukiwa shahada ya
uzamili ya Mawasiliamo ya Kimataifa katika Chuo Kikuu cha Mawasiliano cha
China, Julai Mosi mwaka huu nchini humo.
Gloria
Tesha (wan ne kushoto) akiwa na wanafunzi wenzake kabla ya kutunukiwa Shahada
ya Uzamili ya Mawasilaino ya Kimataifa katika mahafali yaliofanyika katika Chuo
cha Mawasiliano cha China nchini humo Julai Mosi mwaka huu.
Safi sana, Mungu ashukuriwe
ReplyDelete