Meneja wa Benki ya NMB tawi la Usa
River,Bernadeta Mmary akikabidhi msaada wa madawati kwa mwakilishi wa
afisa elimu,Jumanne Masuke uliotolewa na benki kwa shule ya msingi
,Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilayani Arumeru.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua
Nassar akifurahia msaada wa madawati toka Benki ya NMB ,wengine ni
viongozi kutoka katika benki hiyo pamoja na viongozi waliokuwa
wakiiwakilisha serikali.
Meneja wa NMB tawi la Usa River ,Bernadeta
Mmary akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada huo wa
madawati.
Mbunge Joshua Nassar akizungumza wakati wa
hafla fuoi ya kukabidhi msaada wa madawati uliotolewa na Benki ya NMB
kwa ajili ya shule ya msingi Sura iliyopo kijiji cha Songoro wilaya ya
Arumeru.
Baadhi ya wanafunzi wakiwa wameketi katika
madawati yaliyotolewa na Benki ya NMB.
Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Sura
,Raphael Akyoo akizungumza katika hafla ya kukabidhiwa
madawati.
Mbunge Nassar pamoja na viongozi wa benki ya NMB wakiwa katika picha ya pamojamara baada ya kukabidhi msaada wa madawati. |
0 comments:
Post a Comment