Naibu
Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua gari la wagonjwa
(Ambulance) lenye thamani ya Tsh. Milioni 80 kwa ajili ya kubebea
wakinamama wajawazito na watoto wanaohitaji huduma za dharula za
upasuaji kutoka vituo vyote vya kutolea huduma za afya katika wilaya ya
Mbogwe kwa ufadhili wa Shirika la UNFPA. Kushoto anayeshuhudia tukio
hilo ni Mwakilishi msaidizi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
linaloshughulikia Idadi ya Watu duniani (UNFPA) nchini Tanzania, Dkt.
Rutasha Dadi.
Mh. Kassim Majaliwa na Dkt. Rutasha Dadi wakipiga makofi.
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akijaribu gari hilo.
Naibu
Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akitoa angalizo la matumizi mabovu kwa
DED wa Mbogwe na wafanyakazi wa kituo hicho cha afya.
Naibu
Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
(TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa akikabidhi funguo za gari hilo la kubebea
wagonjwa (Ambulance) kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya
ya Mbogwe, Abdala Idd Mfaume.SOMA ZAIDI FK MATUKIO
0 comments:
Post a Comment