Nafasi Ya Matangazo

May 14, 2015



HOSPITALI ya African Medical Investment (AMI) ya Msasani Jijini Dar es Salaam imefungwa kutoa huduma kufuatia deni la pango inalodaiwa.

Pichani ni waafanyakazi wa Kampuni ya udalali ya MEM Auctioneers and General Brokers Limited wakiondoa mali walizokamata za hospitali hiyo, baada ya Mahakama Kuu kuamuru mali zikamatwe kulipa deni la dola za kimarekani milioni 1.6 zilizotokana na kushindwa kulipa kodi ya pango kwa zaidi ya miezi 26.
Posted by MROKI On Thursday, May 14, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo