Waziri Mkuu
Mhe. Mizengo Pinda akifungua Kongamano
la Kimataifa la Siku 3 la Wakuu wa Taasisi za Takwimu wa nchi 38 za Afrika na 18
kutoka nje ya Bara la Afrika leo jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akionyesha kitabu
kinachoeleza Maendeleo na historia ya Takwimu katika Bara la Afrika
alichokizindua leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Rais wa Taasisi ya
Kimataifa ya Takwimu (ISI) Bw. Vijay Nair na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi
ya Taifa ya Takwimu (NBS).
Waziri
Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akizindua kitabu kinachoeleza Maendeleo na historia ya
Takwimu katika Bara la Afrika alichokizindua leo jijini Dar es salaam. Kushoto
ni Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI) Bw. Vijay Nair na Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) kushoto kwa Waziri Mkuu na Prof. Ben
Kiregyeza (kulia) ambaye ndiye mwandishi wa kitabu hicho.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa awali akizungumza
Rais wa
Taasisi ya Kimataifa ya Takwimu (ISI) Bw. Vijay Nair akizungumza
0 comments:
Post a Comment