Mkurugenzi Mtendaji wa
kampuni ya Rex Energy Francis Khibhisa akizungumza wakati wa uzinduzi wa
Teknolojia mpya ya umeme jua ya gharama nafuu ijulikanayo kama 3G+Solar
Homes System (SHS). Katikati ni Paul Kiwele Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya
Nishati na Madini,Mwisho ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt
Lt kutoka Bagladesh Didar Islam.
Mgeni rasmi katika uzinduzi
wa Teknolojia mpya ya umeme jua ya
gharama nafuu ijulikanayo kama 3G+Solar Homes System (SHS) Naibu Kamishna
wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini Paul Kiwele katikati
akizindua teknolojia hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis Khibhisa na
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt Lt kutoka Bagladesh Didar
Islam
Injinia Arnold Swai wa Kampuni
ya Rex Energy akionyesha namna
Teknolojia mpya ya umeme jua ya gharama nafuu ijulikanayo kama
3G+Solar Homes System (SHS) inavyofanya kazi. Kutoka kulia ni Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt Lt kutoka Bagladesh Didar Islam akifuatiwa
na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis Khibhisa na Naibu
Kamishna wa Nishati Mbadala wa Wizara ya Nishati na Madini Paul Kiwele.
Mwandishi wa habari kutoka
kituo cha televisheni cha channel 10 Peter Shedrack akipokea zawadi ya
solar mpya aina ya 3G+Solar Homes System (SHS) aliyojishindia wakati wa droo iliyochezeshwa
kwenye uzinduzi wa teknolojia hiyo jijini Dar es Salaa. Anayemkabidhi ni
Naibu Kamishna wa Nishati Mbadala kutoka Wizara ya Nishati na Madini Paul
Kiwele na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis
Khibhisa.
Waandishi wa habari
waliojishindia seti ya mfumo mpya wa umeme jua ujulikanao kama 3G+Solar Homes System (SHS) kwenye droo
iliyochezeshwa wakati wa uzinduzi jijini Dar es Salaam jana. Wa kwanza
kulia (waliovaa suti) ni Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Solaric Pvt Lt kutoka Bagladesh Didar Islam
alikifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Rex Energy Francis
Khibhisa na mgeni rasmi katika uzinduzi huo Paul Kiwele ambaye ni Naibu
Kamishna wa Nishati Mbadala kutoka Wizara ya Nishati na Madini
0 comments:
Post a Comment