Kaimu Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam.
Kaimu
meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Singida Bw.Salum Adam
akizungumza na Viongozi wa vyama mbalimbali vya Wajasiliamali manispaa
ya Singida kuhusu kujiunga na mpango wa utaratibu wa kupata huduma za
matibabu kwa Kadi kupitia vikundi vyao katika sekta isiyo rasmi kama
AMCOS,SACCOS,VICOBA na Umoja wa Waendesha Bodaboda na Mama Lishe.
Baadhi
ya Wajasiliamali wakiwasikiliza Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya katika mkutano huo wa Uhamasishaji kujiunga na Mpango wa Kikoa
Afisa
kutoka Bima ya Afya makao makuu Dar-es-Salaam Bw.Salvatory Okumu akitoa
Mada ya umuhimu wa kujiunga na mpango wa matibabu kwa kadi kwa sekta
zisizo rasmi Kikoa.
Baadhi
ya Wajasiliamali wakiwasikiliza Maafisa wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya
Afya katika mkutano huo wa Uhamasishaji kujiunga na Mpango wa Kikoa. KAPIPIJhabari.COM
0 comments:
Post a Comment