Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa Wilaya ili kuboresha utendaji kazi.
Mabadiliko hayo yamezingatia kuwepo kwa nafasi wazi ishiri na saba (27) zilizotokana na:
a) Kufariki dunia Wakuu wa Wilaya 3;
b)Kupandishwa cheo Wakuu wa Wilaya 5 kuwa wakuu wa Wakuu wa Mikoa:
c)Kupangiwa Majukumu Mengine wakuu wa Wilaya 7; na
d)Kutengua uteuzi wa Wakuu Wawilaya wengine 12.
katika babadiliko hayo Rais Kikwete amewateua wakuu wapya wa Wilaya 27 kujaza nafasi hizo zilizo achwa wazi.
Aidha, Wakuu wa Wilaya siti na nne (64) wamebadilishwa vituo vyao vya kazi na Wakuu wa Wilaya arobaini na mbili (42) wameendelea kubaki katika vituo vyao vya sasa.
Walio teuliwa ni pamoja na Zelothe Steven (Musoma), Mboni
Muhita(Mufundi), Paul Makonda (Kinondoni), Shaabani Kissu (Kondoa), Mariam Mtima (Ruangwa),
Dk.Jasmini Tiisike (Mpwapwa), Paloleti Mgema (Nachingwea), Fadhili Nkurlu,
(Misenyi), Felix Lyaniva (Rorya), Fredrick Mwakalebela (Wanging'ombe),
Fransis Mwango (Bahi), Col Kimiang'ombe Samwel (Kiteto), Husna Msangi( Handeni),
Emmanuel Uhaula (Tandahimba), Hashim Mngandilwa (Ngorongoro), Mariam Juma
(Lushoto), Thea Ntara (Kyela), Ahmad Nammohe (Mbozi), Pili Moshi
(Kwimba), Mahmoud Kambona (Simanjiro), Glorius Luoga (Tarime), Zainabu Telack
(Sengerema), Zuhura Ally (Uyui).
WALIOHAMISHA WILAYA ZAO NI PAMOJA NA
Nyerembe Munasa kutoka Arumeru kwenda Mbeya, Jordan Rugimbana kutoka Kinondoni kwenda Morogoro, Fatma Ally kutoka Chamwino kwenda
Mtwara, Lephy Gembe kutoka Dodoma Mjini kwenda
Kilombero, Christopher Kangoye, kutoka Mpwapwa kwenda Arusha, Omary Kwaang’
kutoka Kondoa kwenda Karatu, Francis Isack kutoka Chemba kwenda Muleba
na Betty Mkwasa kutoka Bahi kwenda Dodoma Mjini.
Agnes Hokororio kutoka Ruangwa
kwenda Namtumbo, Regina Chonjo kutoka Nachingwea kwenda Pangani,
Husna Mwilima kutoka Mbogwe kwenda Arumeru, Gelad Guninita kutoka
KIlolo kwenda Kasulu, Zipporah pangani
kutoka Bukoba kwenda Igunga na
kanali Issa Njiku kutoka Misenyi kwenda
Mlelea.
Pia wamo Richard Mbeho kutoka
Biharamulo kwenda Momba, Lembris Marangushi kutoka Muleba kwenda Rombo,
ramadhani Maneno kutoka Kogoma kwenda Chemba, Venance Mwamoto kutoka Kibondo
kwenda kaliua, Gishuli Charles kutoka Buhigwe kwenda Ikungi.
Wengine ni Novatus Makunga kutoka
Hai kwenda Moshi, Anatory Chonya kutoka Mbulu kwenda Ludewa, Christine Mndeme kutoka hanang kwenda Ulanga, Jackson Musome kutoka Musoma kwenda Bukoba,
John Henjewele kutoka Tarime kwenda Kilosa, Dk Norman Sigalla kutoka
Mbeya kwenda Songea, Dk.Michael Kwedeghe kutoka Mbozi kwenda Mbulu, Crispin
Meela kutoka Rungwe kwenda babati, Magreth Malenga kutoka Kyela kwenda
Nyasa.
Saidi Amanzi kutoka
Morogoro kwenda Singida, Antont Mtaka kutoka Mvomero kwenda Hai, Elias tarimo
kutoka Kilosa kwenda Biharamulo, Francis
Miti kutoka Ulanga kwenda hanang,
Hassan Masala kutoka Kilombero kwenda
Kibondo.
Angelina Mabula kutoka Butiama
kwenda Iringa, Farida Mgomi kutoka Masasi
kwenda Chamwino, Willaim Ndile
kutoka Mtwara kwenda kalambo, Ponsian Nyami kutoka Tandahimba kwenda bariadi,
Mariam Lugaila kutoka Misungwi kwenda Mbongwe, Mary Onesmo kutoka Ukerewe
kwenda Buhigwe, Karen Yunus kutoka Sengerema kwenda Magu, Josephine
Matiro kutoka makete kwenda Shinyanga, Joseph Mkirikiti kutoka Songea
kwenda Ukerewe.
Wengine ni Abdula Lutavi kutoka
namtumbo kwenda Tanga, Ernest Kahindi
kutoka Nyasa kwenda Longido, Anna
Nyamubi kutoka Shinyanga kwenda Butiama, Rosemary Kirigini kutoka Meatu
kwenda Maswa, Abdallah Kihato kutoka Maswa kwenda Mkuranga, Erasto Sima kutoka
Bariadi kwenda Meatu, Queen Mulozi kutoka Singida kwenda Urambo, Yahya
Nawanda kutoka Iramba kwenda Lindi, Manju Msambya kutoka Ikungi kwenda
Ilemela, Saveli maketta kutoka kaliua kwenda Kigoma, Bituni Msangi kutoka
Nzega kwenda Kongwa na Lucy Mayenga kutoka Uyui kwenda Iramba.
Majid
Mwanga kutoka Lushoto kwenda bagamoyo, Muhingo Rweyemamu kutoka Handeni
kwenda Makete, Hafsa Mtasiwa kutoka pangani kwenda Korogwe, dk Nassoro
Hamid kutoka Lindi kwenda Mafia, Festo Kiswaga kutoka nanyumbu kwenda
Mvomero, Selemani Mzee kutoka Kwimba kwenda
Kilolo, Esterina Kilasi kutojka
Waning’ombe kwenda Muheza, Subira Mgalu kutoka Muheza kwenda Kisarawe na
jacline Liana kutoka Magu kwenda Nzuga.
Walioacha ni pamoja na Elias Wawa Lali (ngorongoro), Alfred E. Msovella
(Kiteto)Dk. Leticia M. Warioba (Iringa), James K. O. Millya (Longido), Mathew S.
Sedoyeka (Sumbawanga), Fatuma L. Kimario (Igunga), Elias W. Lali (Ngorongoro), Abihudi M. Saideya, (Momba),Mrisho
Gambo (Korogwe).
Majina hayo yametangazwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda mjini Dodoma mchana huu.
Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi muda si mrefu:
0 comments:
Post a Comment