Katibu wa Nchi kutoka
Wizara inayohusika na Masuala ya Uchumi
na Nishati ya Ujerumani Mattias Machnig (kulia) akisisitiza jambo
katika kikao kilichokutanisha ujumbe wa
wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani na
Naibu Waziri wa Nishati na Madini
Charles Kitwanga kwa ajili ya kujifunza fursa za uwekezaji katika sekta za
nishati na madini nchini.
Naibu Waziri wa
Nishati na Madini Charles Kitwanga na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini
Mhandisi Ngosi Mwihava pamoja na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini
Ujerumani wakifuatilia kwa makini
maelezo yaliyokuwa yanatolewa na
Kamishna Msaidizi wa Nishati anayeshughulikia masuala ya umeme, Mhandisi Innocent Luoga ( aliyekaa
mbele wa kwanza kushoto) juu ya fursa za
uwekezaji katika sekta ndogo ya umeme.
0 comments:
Post a Comment