Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, Sabasaba Moshingi, akitoa mada,
kuhusu benki hiyo inavyoweza kuwasaidia wanachama wa Mfuko wa Pensheni
wa PSPF, kutokana na ushikiano wa kibiashara baina ya taasisi nhizo
mbili, wakati wa mkutani mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF mjini
Dodoma. Mkutano huo wa siku mbili umefungwao Alhamisi Februari 19, 2015.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu,
akisikiliza kwa makini majadiliano ya wanachama na wadau wa Mfuko huo
wakati wa mkutano mkuu wa nne wa wanachama na wadau wa PSPF mjini Dodoma
,leo Alhamisi Februari 19, 2015.
Msanii kutoka kundi la Mjomba Band akitumbuiza .
0 comments:
Post a Comment