Naibu Waziri –Elimu Ofisi ya Waziri
Mkuu-TAMISEMI,Kassim Majaliwa (katikati) akizungumza na waandishi Dar es Salaam
jana kuhusu wanafunzi waliochaguliwa kujiunga Kidato cha kwanza mwaka 2015.
Hivyo
wazazi na wanafunzi wametakiwa kufika katika shule husika au katika
Ofisi za Kata kuangalia majina ya wanafunzi hao na shule walizo
chaguliwa. Pichani ni Baadhi uya wanafunzi na wazazi wakiangalia majina
hayo katika ofisi ya Mtendaji Kata ya Makurumla jijini Dar es Salaam
jana.
Kwanini hawaja upload jamani wanatupa hard time
ReplyDeleteIla katika shule ya msingi kigogo kuna majina 37 tu nayo yameandikwa kwa mkono yakiwa na yamegagawanywa hivi wasichana 25 na wavulana 12 sasa kwa kuwa kulikuwa na hizi sikukuu hakuna hata wakumuuliza sasa kwa kuwa nimepata mwelekeo kuwa na mengine yamebandikwa katika mbao za ofisi za kata ngoja nikaangalie maana majina mengi hayapo pale katika yaliyo bandikwa pale shuleni
ReplyDeletekuna baadhi ya shule bado majina hayapo kama Shule ya Msingi Kigogo
ReplyDeletemajina ya shule yangewekwa kwenye mitandao ili iwe rahisi kwa wengine kupata
ReplyDeletehad sasa hivi sijapata jina la shule alikopangiwa mwanangu!
tunaomba muweke majina ya shule kwenye mtandao kama mlivyoweka matokeo ya darasa la saba itaturahisishia sisi wengine kupata kwa urahisi.
ReplyDeleteActuality our country in a case of full responsibility still so poor
ReplyDeleteDuh hata mimi nimehangaika sana kuyatafuta hayo majina na shule,wahusika jitahidini kwenda na wakati.
ReplyDeleteDah yaani hard time kwel
ReplyDeleteNaomba mueke kwny mitandao mnatupa hardtime
ReplyDeleteplease naomba muwekee majina online this is so bored cant you people understand we need to see them online please please
ReplyDelete