National Service Manager wa Kampuni ya Toyota Tanzania Ltd, Jose Alvares (kushoto) na Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota Tanzania, Mahmood Karimjee (katikati) wakimkabidhi zawadi mshindi wa kwanza wa jumla, Maria Robi, kutoka Wakala wa Toyota Ltd, Patel Trading Ltd ya Jijini Mwanza, wakati wa Sherehe ya 'Toyota Skills Contest' na hafla maalum ya 12 ya kuwapongeza na kuwatunukia wafanyakazi bora wa mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ofisi za Toyota zilizopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Katika shrehe hiyo pia walitangazwa washindi watatu waliopata tiketi za kwenda nchini Japan, ambao ni Anna Mzori, Peter Louis na Maria Robi.
Katika hafla hiyo pia TOYOTA TANZANIA, ILIWATUNUKU WASHINDI WA SHINDANO LA SKILLS CONTEST-2014, WAFANYAKAZI BORA, WAFANYAKAZI WA MUDA MREFU NA KUWAAGA WAFANYAKAZI WASTAAFU.
Katika hafla hiyo pia TOYOTA TANZANIA, ILIWATUNUKU WASHINDI WA SHINDANO LA SKILLS CONTEST-2014, WAFANYAKAZI BORA, WAFANYAKAZI WA MUDA MREFU NA KUWAAGA WAFANYAKAZI WASTAAFU.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota Tanzania, Mahmood Karimjee (kushoto) na mgeni rasmi, Eng. Prisca Mkama, wakimkabidhi zawadi ya kikombe, mshindi wa tatu kwa uapande wa Service Advisors, Eva Joseph, kutoka Toyota Tanzania Ltd, Tawi la Arusha, wakati wa hafla ya 'Toyota Skills Contest' iliyofanyika sambamba na kuwapongeza na kuwatunuku wafanyakazi bora wa Kampuni hiyo, mwishoni mwa wiki.
Mgeni rasmi, Eng. Prisca Mkama, akimkabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza kwa upande wa 'Mechanics' wa 2014 Peter Louce, wakati wa hafla maalum ya kuwapongeza na kuwatunukia wafanyakazi bora wa mwaka 2014 wa Kampuni hiyo iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Ofisi za Toyota zilizopo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Toyota Tanzania, Mahmood Karimjee.
Mwenyekiti wa Toyota Tanzania, Mahmoud Karimjee (kushoto) na mgeni rasmi Eng. Prisca Mkama, wakipozi kwa picha na mshindi Anna Mzori.
Gilbert Ndenga (katikati) akipozi kwa picha na Mkurugenzi Mkuu wa Toyota Tanzania Ltd, Vinod Rustagi, (kushoto) na Mkurugenzi Yusuph Karimjee.
Mfanyakazi Bora wa Idara ya Rasilimali watu na Utawala wa mwaka 2014, Robert Maganga (katikati) akipozi kwa picha na Mkurugenzi Mkuu wa Toyota Tanzania Ltd, Vinod Rustagi, (kushoto) na Mkurugenzi Yusuph Karimjee.
Mkurugenzi Mkuu, Vinod Rustagi (kushoto) na Mkurugenzi Yusuph Karimjee, wakimkabidhi Tuzo, Beatrice. SOMA ZAIDI SUFIANI MAFOTO
0 comments:
Post a Comment