waziri na ujumbe wake wakioneshwa studio za kurushia matangazo za dw-kiswahili.picha ya 4. Waziri Said Ali Mabrouk na ujumbe wake wakipata maelezo
mafupi kuhusu DW kutoka kwa Naibu Mkuu wa Idhaa Mohammed Abdulrahman.
Kutoka kushoto, Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Utangazaji Zanzibar,
Chande Omar, Mohamed Khelef wa DW, Naibu Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili,
Mohammed Abdulrahman, Waziri wa
habari Said Ali Mbarouk, Sudi Mnette wa DW, Rashid Omar kutoka chuo
cha habari Zanzibar na Mkurugenzi wa shirika la utangazaji la Zanzibar
Hassan Mitawi
0 comments:
Post a Comment