Nafasi Ya Matangazo

September 07, 2014

Marehemu John Masele enzi za uhai wake
Jeshi la Polisi nchini limepata pigo jingine baada ya askari wake wengine wawili kutoka Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kufa katika ajali huko Kisarawe mkoani Pwani hii leo. 
 
Mmoja wa askari hao ni John Masele wa Oysterbay Police na Kituo cha Kutolea Leseni za Udereva cha TRA Mayfair Plaza Mikocheni,Dar es Salaam.
FK nlog itakujuza zaidi. 
Posted by MROKI On Sunday, September 07, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo