Nafasi Ya Matangazo

September 08, 2014



Fadha Kidevu Blog
BEKI tegemezi wa Azam FC,Aggrey Moris leo ameanza mazoezi na timu yake kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga uliopangwa kufanyika Jumapili hii uwanja wa taifa..

Meneja wa Azam FC,Jemedari Said amesemeiambia Father Kidevu Blog kuwa Moris ameanza mazoezi na kikosi hicho baada ya kupona Malaria iliyomsumbua kwa wiki moja.

Moris hakuweza kusafiri na kikosi cha Taifa Stars juzi kutokana na kusumbuliwa na maradhi hayo na baada ya kupona anatarajiwa kuwemo kwenye kikosi cha Azam kitakacho pambana na Yanga Jumapili.
Posted by MROKI On Monday, September 08, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo