Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe pamoja na
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma
Kapuya akiweka jiwe la Msingi kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa Barabara ya
Magole-Turiani –Mziha sehemu ya Magole-Turiani (48.6km) inayojengwa kwa kiwango
cha lami.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe, mbunge wa
Mvomero Amos Makalla, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joel Bendera pamoja na Makamu
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Profesa Juma Kapuya
akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya Magole-Turiani
(48.6km
Mtendaji Mkuu wa
Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale akitoa maelezo ya
kina kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuhusu
ujenzi wa Barabara ya Magole-Turiani (48.6km)
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli wa kwanza kulia akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi
Mhandisi Mussa Iyombe kabla ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa barabara ya
Magole-Turiani (48.6km) kwa kiwango cha lami
Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli (katikati) akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya
Miundombinu Profesa Juma Kapuya wakifurahia jamabo na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero
Mheshimiwa Antony Mtaka kabla ya uzinduzi
wa Barabara ya Magole-Turiani (48.6km)
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiwa pamoja na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli kushoto wakifurahia kikundi cha ngoma za asili mara baada
ya Mheshimiwa Rais kuwasili Wilaya ya Mvomero kwa ajili ya kuzindua ujenzi wa Barabara
ya Magole-Turiani (48.6km)
Katibu Mkuu wa Wizara
ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe wa kwanza (kushoto) akizungumza kabla ya
uzinduzi rasmi wa barabara ya Magole Turiani. Wa kwanza kulia kwake ni
Mkurugenzi wa Barabara kutoka Wizara ya Ujenzi Mhandisi Ndyamukama pamoja na
Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi na Umeme Dkt. Wiliam Nshama
Sehemu ya Matengenezo
ya Daraja katika barabara ya Barabara ya Magole-Turiani (48.6km)
0 comments:
Post a Comment