Ujumbe
kutoka Tanzania ukiongozwa na Naibu Waziri wa Nishati na Madini,
Charles Kitwanga (wa nne kushoto), ukiwa katika kiwanda cha kutengeneza
vifaa vya umeme jua cha Canadian Solar katika jimbo la Ontario nchini
Canada.Wengine katika picha ni Mkurugenzi Mwandamizi wa Canadian Solar,
Brian Lu (wa tano kushoto), Mwenyekiti Kamati ya Bunge, Nishati na
Madini, Mhe.Victor Mwambalaswa(Mb.) (wa tatu kushoto), Mhe.Shafin Sumar
(Mb.), (wa pili kulia), Mhe.Richard Ndasa (Mb.) (wa tatu kulia),
Mhe.Murtaza Mangungu (Mb.) (wa nne kulia), Bw.Ronald Drews, Mratibu wa
Masuala ya Biashara kwa Tanzania (wa tano kulia) pamoja na wataalam
kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Canadian Solar.
Ujumbe
kutoka Tanzania, ukiwa na Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya
Canadian Solar Bw.Shawn Qu (wa sita kushoto), mara baada kutembelea
kiwanda kinachotengeneza vifaa vya umeme jua kinachomilikiwa na kampuni
hiyo,. Katika picha ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Charles
Kitwanga (wa saba kutoka kushoto), Mwenyekiti Kamati ya Bunge Nishati na
Madini, Mhe Victor Mwambalaswa (wa tano kushoto), Mhe.Richard Ndasa
(Mb.) (wa tano kulia), Bw.Ronald Drews, Mratibu wa Masuala ya Biashara
kwa Tanzania (wa nne kushoto), Paul Makelele (Afisa Ubalozi wa Tanzania
nchini Canada), (wa nne kulia) pamoja na wataalam kutoka Canadian Solar
na Wizara ya Nishati na Madini.
0 comments:
Post a Comment