Mkurugenzi wa shirika
la habari Tanzania (TBC) Clement Mshana akihutubia
wakati wa ufunguzi
wa mkutano wa 98 wa watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika
la utangazaji Tanzania (TBC) mkoani Morogoro iliyoanza julai 14 hadi 23 mwaka
huu mkoani Morogoro, Mkutano huo umefadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF.
Mkurugenzi mkuu wa
mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Mayingu akizungumza
na watayarishaji wa
vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji Tanzania (TBC) wakati
wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa mkoani Morogoro ulioanza julai 14 hadi 23 mwaka
huu mkoani Morogoro, Mkutano huo umedhaminiwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF.
Mkuu wa mkoa wa
Morogoro Joel Bendera akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 98 wa
watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji
Tanzania (TBC) mkoani Morogoro iliyoanza julai 14 hadi 23 mwaka huu mkoani
Morogoro, mkutano huo unafadhiliwa na Mfuko wa Pensheni wa PSPF. kutoka kulia
ni Mkurugenzi mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu na (katikati)
ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko huo wa PSPF, Neema Muro. mkutano huo unafadhiliwa na Mfuko wa Pensheni
wa PSPF. kutoka kulia ni na (katikati) ni Mkurugenzi wa uendeshaji wa
mfuko huo wa PSPF, Neema Muro.
Mkuu wa mkoa wa
Morogoro Joel Bendera akijaza fomu ya kujiunga na Mfuko wa Pensheni wa PSPF baada ya kufungua mkutano wa 98 wa
watayarishaji wa vipindi vya elimu kwa umma kupitia shirika la utangazaji
Tanzania (TBC) ambao ulidhaminiwa na Mfuko wa Pensheni wa Pensheni PSPF mkoani
Morogoro ulioanza julai 14 hadi 23 huku akishuhudiwa na Mkurugenzi mkuu wa
mfuko wa pensheni wa PSPF, Adam Maingu kulia na kushoto Mkurugenzi wa uendeshaji wa mfuko huo wa PSPF,
Neema Muro na nyuma yao ni Costantina Martin ambaye ni Meneja
Mawasiliano, Masoko na Uenezi wa PSPF
0 comments:
Post a Comment