Timu
ya magolikipa ambayo tumeunda umoja wetu ili kufanya mazoezi kwa pamoja
na kucheza mechi,pia kuondoa tofauti kati yetu,hatubagui,makipa wote
wanaocheza Ligi zote hapa Tanzania,pia kuwasaidia vijana ambao
wanachipukia na hatimaye wapate timu za kucheza,tunakaribisha mialiko ya
mechi za kirafiki ndani na nje ya hapa dar,tumecheza mechi zaidi ya
nane(8) kati ya hizi ni mechi 2 tumefungwa na moja kutoka droo,na
nyinginezo tano(5) kushinda.
Pia tunakaribisha udhamini kwa watu
mbalimbali na makampuni pamoja na taasisi mbalimbali,kwa mawasiliano
zaidi unaweza tupata kwa namba hizi hapa,0654904455 au
0757285404,tunawakaribisha sana.
0 comments:
Post a Comment