Nafasi Ya Matangazo

June 09, 2014

Mama Regina Lowassa akimlisha keki mumewe waziri mkuu mstaafu an mbunge wa Monduli Mh Edward Lowassa wakati wa tafrija fupi ya kuadhimisha miaka 60 ya kuzaliwa mama Regina, juzi jumapili June 8 nyumbani kwao Masaki jijini Dar es Salaam.

Juni 8 ya kila mwaka ni ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mke wa Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyae Lowassa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha na Laigwanan Mkuu.

Father Kidevu Blog inaungana na Familia yake pamoja na wana Monduli na watanzania kwa ujumla kumtakia heri na fanaka lakini kubwa zaidi kumuombea kwa Mungu amjalie HEKIMA na BUSARA zaidi katika maisha anayo mjalia. 
Posted by MROKI On Monday, June 09, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo