Mkuu wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, Christopher Magala akihutubia katika ufunguzi wa semina ya wanachama wa Chama cha Ucshirika cha Tandahimba na Newala (TANECU) leo.
Baadhi ya Wajumbe wa Chama cha Ushirika cha Tandahimba na Newana (TANECU) wakifuatilia hotuba ya Mkuu wa Wilaya ya Newala ambaye alikuwa mgeni Rasmi. 





0 comments:
Post a Comment