Chama cha wananchi CUF, leo kiameanza mkutano wake Mkuu wa siku tano katika Ukumbi wa Blue Pearl uliopo Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam ambapo pamoja na mambo mengine Chama hicho kitafanya Uchaguzi wake Mkuu wa viongozi ambao watakiingiza Chama katika Uchaguzi Mkuu wa Urais na Wabunge 2015.
wanachama wa CUF wakiwa katika mkutano huo hii leo.
Picha ya pamoja ya Viongozi wa CUF na Viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa.







0 comments:
Post a Comment