Lori la mizigo aina ya Scania lenye namba za
usajili T142BJM na tela lenye namba za usajili
T111ALD likiwa limepinduka baada
ya kuvunja daraja la muda lililopo barabara ya Kinyerezi Dar es Salaam usiku wa
kuamkia jana. Mtu mmoja alifariki papo hapo na wengine sita kujeruhiwa katika
ajali hiyo ambayo ilisababishwa na dereva aliyelazimisha kupitisha lori hilo
lenye uzizito wa zaidi ya tani 20 katika daraja la tani saba.Lori hili bado lipo eneo la tukio.
June 23, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment