Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela
Mukangara akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) na kuwaasa kutumia
kalamu vizuri hasa katika kipindi hiki cha uandaaji wa katiba mpya kwa maslahi
ya Taifa, kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu
wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini
Dodoma.
|
Mhadhiri katika Shule Kuu ya Uandishi wa Habari na
Mawasiliano ya Umma (SJMC) ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam Dkt. Ayoub Rioba
akiongea na Waandishi wa habari (hawapo pichani) na kueleza kuhusu umuhimu wa
Vyombo vya habari hasa katika kipindi hiki cha kuelekea katika uandaaji wa
katiba mpya, Kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu
wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini
Dodoma.
|
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Mwalimu Bashiru Ally
akiongea na Waandishi wa Habari (Hawapo Pichani) na kuwaasa kutumia nyenzo zote
ikiwamo Rasimu ya Katiba, Hotuba ya Mh. Rais Jakaya Kikwete hasa katika kipindi
hiki cha kuelekea katika upatikanaji wa katiba mpya. kwenye Semina
Iliyoandaliwa na Idara ya Habari (
MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge
maalum, Leo Mjini Dodoma.
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mh. Kingunge Ngombale Mwiru
akiongea na waandishi wa habari Hawapo Pichani) na kuwaasa wananchi kuwa na
umoja hasa katika kipindi hiki cha upatikanaji wa katiba mpya kwa maendeleo ya
Taifa na Wananchi kwa Ujumla. kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari ( MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa
habari katika kuripoti habari za bunge maalum, Leo Mjini Dodoma.
|
Mkurugenzi Msaidizi wa
Idara ya Habari (MAELEZO) Zamaradi Kawawa akieleza jambo kwa Waandishi wa
Habari (Hawapo Pichani) Kwenye Semina Iliyoandaliwa na Idara ya Habari (
MAELEZO) kuhusu wajibu wa waandishi wa habari katika kuripoti habari za bunge
maalum, Leo Mjini Dodoma.
|
0 comments:
Post a Comment