Wakisalimia wananchi
Rais wa Kenya na Mwenyeki wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyata pamoja na Makamu wake wa Rais William Samoei Ruto
walisafiri kwa njia ya barabara kutoka Ikulu ya Naorobi hadi Jijini Arusha Tanzania jana.
Rais Kenyata alikuwa akielekea jiji Arusha kuhutubia Bunge la Afrika Mashariki jana. Huo ndio ulikuwa msafara wao na walikuwa wakilakiwa njiani hivyo na wananchi wa Kenya.
0 comments:
Post a Comment