Nafasi Ya Matangazo

March 06, 2014

MkurugenziMwendeshajiwaKituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC),Elishilia Kaayaa kiwa amebeba watoto watatu mapacha  Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwamwanzonimwa wiki hii katika Hospitali ya AICC Jjiini Arusha.


Wengine pichanini Mkurugenzi wa Hospitali ya AICC Prof.Sendui Ole Nguyaine (kushoto), mama mzazi wa watotohao, Aneth Kimario (katikati) pamoja na wauguzi wa Hospital ihiyo.
Posted by MROKI On Thursday, March 06, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo