Mwenyekiti wa Chama cha
Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano
kutoka viwanja vya Soweto Kwenda Bustani ya Jiji jijini Mbeya huku akiwa
amewashikilia watoto wakati wa maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa kwa
chama cha Mapinduzi CCM yanayofanyika leo mkoani Mbeya kwenye uwanja wa
Sokoine Kutoka kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM bara na Naibu Waziri wa
Fedha na Uchumi Mwigulu Nchema, Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee
Philip Mangula na kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na Uchumi Mama
Zakhia Megji, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh.
Godfrey Zambi wakishiriki matembezi hayo, Matembezi hayo ya kilomita
tano yalianza Saa moja na nusu na kumalizika Saa mbili na robo.
,Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kipenzi cha watoto
ameshiriki nao katika matembezi hayo kama anavyoonekana akitembea
sambamba na watoto hao
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr.
Jakaya Kikwete akizungumza na wana Mbeya mara baada ya kupokea matembezi
hayo kwenye bustani ya Jiji jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya miaka
37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika kwenye uwanja wa Sokoine leo
jijini Mbeya.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete aki Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiwasili eneo la Soweto Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM bara Mzee Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa kitaifa wa CCMwakiwa wamejipanga tayari kwa kuanza matembezi hayo. ,Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia ,Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakisonga mbele. Maaskari wa vikosi vya usalama Barabarabi na Usalama wa rais wakijiweka sawa na kuupanga msafara wa matembezi hayo Wanahabari wakishiriki katika matembezi hayo ,Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia akiwapungia mkono wananchi waliojitokeza barabarani wakati matembezi hayo yakiendelea. Adam Gille na wanahabari wengine wakiwajibika kama kawa Wananchi wakishiriki katika matembezi hayo Mwitikio wa wananchi ulikuwa mkubwa pamoja na kwamba matembezi hayo yalianza mapema saa moja na nusu mpaka saa mbili na robo. Umati wa wananchi ukiwa umefunika barabara Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete kulia akiingia kwenye bustani ya jiji la Mbeya tayari kwa kupokea matembezi hayo yaliyoanzia Soweto Mwanjelwa na mkumalizikia katika bustani hiyo kiasi cha kilomita tano. kutoka kushoto ni Katibu wa NEC Fedha na Uchumi Mama Zakhia Megji, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana , Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete mara baada ya kupokea matembezi hayo kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana .Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi na kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula na Marck Mwadosya Waziri Ofisi ya Rais kazi Maalum.
Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akitambulisha viongozi mbalimbali mara baada ya Rais Dr. Jakaya Kikwete kupokea matembezi hayo katika bustani ya jiji mkoani Mbeya. Waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe akizungumza na wananchi, kulia ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akiteta jambo na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kulia na Dr. Mohamed Seif Khatibu Katibu wa NEC Oganizesheni huku wakifurahia mazungumzo hayo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dr. Jakaya Kikwete akizungumza na wana Mbeya mara baada ya kupokea matembezi hayo kwenye bustani ya Jiji jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya miaka 37 ya Chama cha Mapinduzi yanayofanyika kwenye uwanja wa Sokoine leo jijini Mbeya.
0 comments:
Post a Comment