Nafasi Ya Matangazo

December 13, 2013

Waziri Mkuu mstaafu akifurahia jambo na mkuu wa majeshi mstaafu Jenerali David Musuguri walipokutana uwanja wa ndege wa kimataifa wa mwalimu Nyerere jijini dar es salaam jana.Jenerali Musuguri ambaye wakati wa vita ya Kagera alikuwa akijulikana Kama Mti Mkavu ana umri wa miaka 93
Posted by MROKI On Friday, December 13, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo