Nafasi Ya Matangazo

November 08, 2013

 Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) inaendesha mafunzo kwa waandishi wa habari kutoka nchi wanachama wa jumuia hiyo juu ya namna ya kuripoti habari zenye migogoro kwa weledi bila kuchochea machafuko au kuvuruga juhudi za Mtangamano wa EAC. Mkutano huo unafanyika katika Hoteli ya Hoteli ya Royal Palace, mjini  Bunjumbura Burundi.

Pichani juu niMtaalum wa masuala ya habari ambaye pia ni mratibu wa mafunzo hayo, Sukhdev Chhatbar akitoa neno wakati wa ufunguzi.
Elizabeth Wanyoike kutoka GIZ akitoa mada katika mafunzo hayo.
Meza kuu
Picha ya pamoja ya washiriki hao wa mafunzo ya siku nne.
Mwandishi kutoka Tanzania, Romary Mirondo akizungumza jambo na Mtanzania mwenzake Peter Saramba (katikati) na Balthazar Ndiwayesu kutoka Burundi.
Posted by MROKI On Friday, November 08, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo