Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira
Silima akiongea na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam jana wakati wa kumtangaza
Athuman Hamisi (kulia) kuwa Balozi wa Usalama Barabarani kitaifa.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira
Silima akiongea na waandishi wa habari
jijini Dar es Salaam jana wakati wa kumtangaza
Athuman Hamisi (kulia) kuwa Balozi wa Usalama Barabarani kitaifa.
Athumani Hamisi anataraji kuanza kampeni maalum ya kuhamasisha jamii juu ya matumizi sahihi ya vyombo vya usafiri kwa kufanya kampeni hiyo kuanzia mwezi desemba ambao umeelezwa kuwa na matukio mengi ya ajali na kusababisha vifo na ulemavu.
Pia wito umetolewa kwa wadau mbalimbali nchini na nje ya nchi ambao watapenda kusaidia jitihada hizo za Athumani Hamisi kuchangia ama moja kwa moja kwake au kupitia Kamati ya Kitaifa ya Usalama barabarani ambayo Mwenyekiti wake ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nadani, Pereira Silima na Katibu ni Kamanda wa Trafiki Mohamed Mpinga.
0 comments:
Post a Comment