Redds
Miss Tanzania 2013 Top Model Narieta Boniface ambaye pia ni Balozi wa
Marie Stopes Tanzania 2013 wakati akikabidhiwa cheti maalum na
Mkurugenzi Mkazi wa Marie Stopes Tanzania madame, Uller Muller katika
ofisi zao leo hii, ikiwa ni ishara ya kukaribishwa rasmi katika Taasisi
hiyo ambayo mrembo huyo atakuwa akifanya kazi za kuhamasisha vijana
hususan wasichana kujikinga na mimba zisizotarajiwa kwa kutumia njia za
uzazi wa mpango. Mrembo Narieta Boniface pia ni Miss Chang'ombe 2013 na
Miss Temeke mshindi wa 3.
SERIKALI YATOA BILIONI 14.4 MRADI WA ENGARUKA
27 minutes ago
0 comments:
Post a Comment