Nafasi Ya Matangazo

September 25, 2013

  Mhe.Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wake wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Chole . Kulia kwake ni Mkuu wa Wlaya ya Mafia Mhe.Sauda Mtondoo. Mhe.amesisitiza ushiriki wa wananchi katika kuleta maendeleo yao.
Mhe. Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja Mkuu wa Wilaya Mhe.Sauda Mtondoo , Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, na Watendaji Wakuu wa Wilaya mara baada ya kumaliza ziara yao katika Kijiji cha Chole Mafia.
 Mhe.Ummy Mwalimu akiwa katika boti kuelekea katika kijiji cha Chole . Kulia kwake pembeni ni Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe.Sauda Mtondoo
Mhe.Ummy Mwalimu akiangalia shughuliza Ujasiliamali za akina mama wa kijiji cha Miburani,Wilayani Mafia.
Naibu Waziri Maendeleo ya Jamii,Mhe. Ummy Mwalimu akisalimiana na Watoto wanaosoma katika kituo cha Watoto kinachosimamiwa na kikundi cha kina mama cha Chole Society for Women Development katika kijiji cha Chole , Wilayani Mafia.
Mhe.Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Mafia Mhe.Sauda Mtondoo na Walimu wa Shule ya Sekondari ya Kitomondo alipowatembelea shuleni hapo na kuongea na wasichana kwa lengo la kuwahamasisha umuhimu wa elimu.
Posted by MROKI On Wednesday, September 25, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo